Mahitaji ya lugha ya kiswahili yameongezeka duniani huku baadhi ya vyuo vikuu vikianzisha lugha hiyo pamoja na vitivo kamili. Sekta ya burudani pia haikuwachwa nyuma katika kutumia Kiswahili hususan ...
Upendeleo wa kijinsia wa teknolojia ya Akili Mnemba AI katika tafsiri za Kiswahili umekuwa ukishuhudiwa kwa mudasasa na unaweza bila shaka kuathiri jamii yetu. Teknolojia ya Akili Mnemba (AI) imekuwa ...
Waswahili wamekuwa wakifanya tafsiri kwa kipindi chote cha uwepo wao kama jamii kutokana na muingiliano wao na wageni wa mataifa na mabara mbalimbali duniani. Lakini ni zipi changamoto za tafsiri ...