Tangu Pluto ipokonywe hadhi ya kuwa sayari mwaka 2006, tumekuwa tukiambiwa kuwa mfumo wa jua una sayari nane pekee. Hata hivyo, baadhi ya wanasayansi wanaamini kuwa kuna sayari ya tisa isiyoonekana ...