Mwaka 2013 Francis alikuwa Papa wa kwanza kutoka Amerika na kutoka Ulimwengu wa Kusini. Alimrithi Benedict XVI, ambaye alifariki mwaka 2022. Benedict XVI alikuwa Papa wa kwanza kustaafu kwa hiari ...
Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Francis ameongoza Ibada ya mazishi ya Papa Mstaafu Benedict XVI katika viwanja vya Kanisa Kuu la Mtakatifu Petro. Kwa mara ya kwanza katika historia ya sasa, ...
Kiongozi mstaafu wa Kanisa Katoliki, Benedict XVI alifariki Desemba 31, 2022 akiwa na umri wa miaka 95. Alipendwa na wengi, lakini pia alikosolewa na wengine. Benedict XVI ambaye jina lake halisi ni ...
Kwa sasa kanisa hilo linaingia katika kipindi kinachofahamika kama “sede vacante”, ambapo kadinali mwandamizi ambaye kwa sasa ni Kevin Farrell atachukua majukumu ya siku kwa siku hadi pale papa mpya ...
Papa Leo XIV alielezea chaguo lake la jina la papa kama kujitolea kwa masuala ya kijamii katika kukabiliana na changamoto za mapinduzi ya viwanda na akili ya bandia siku ya Jumamosi, Mei 10, wakati wa ...