Mwaka 2013 Francis alikuwa Papa wa kwanza kutoka Amerika na kutoka Ulimwengu wa Kusini. Alimrithi Benedict XVI, ambaye alifariki mwaka 2022. Benedict XVI alikuwa Papa wa kwanza kustaafu kwa hiari ...
Katika mji mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo Kinshasa, waumini wanaminika kwenye vibanda vilivyojengwa kwenye viwanja vya makanisa kununua fulana na tishu zilizopambwa na sura ya papa Francis, ...
Kiongozi mstaafu wa Kanisa Katoliki, Benedict XVI alifariki Desemba 31, 2022 akiwa na umri wa miaka 95. Alipendwa na wengi, lakini pia alikosolewa na wengine. Benedict XVI ambaye jina lake halisi ni ...
Kwa sasa kanisa hilo linaingia katika kipindi kinachofahamika kama “sede vacante”, ambapo kadinali mwandamizi ambaye kwa sasa ni Kevin Farrell atachukua majukumu ya siku kwa siku hadi pale papa mpya ...
Mfalme wa Ubelgiji Philippe Léopold na mkewe malkia Mathilde ni miongoni wa waombolezaji ambao wamefika katika mazishi ya Papa wa Zamani Benedict wa 16. Mazishi hayo yanayongozwa na Papa Francis, hii ...