MSANII nyota wa muziki wa Bongo Fleva na Mkurugenzi Mtendaji wa Wasafi Media, Diamond Platnumz anajiandaa kuachia wimbo wake mpya wa kimahaba uitwao ‘Natulizana’ ikiwa ni maalum kwa msimu wa Valentine ...
Muziki ijumaa Juma hili Ali Bilali anazungumza na mwanamuziki wa kitambo wa miondoko ya Hip Hop kwenye muziki wa Bongo Fleva Toxy Star, ambae hivi karibuni ametoa audio na video yake mpya Chilax, ...